A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, October 2, 2020

MAMA SAMIA AENDELEA NA KAMPENI ZA CCM MKALAMA SINGIDA


Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Wilaya ya Mkalama alipowasili katika uwanja wa Iguguno Mkalama Mkoani Singida kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Octoba 02,2020. 
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Mkalama Singida wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika uwanja wa Iguguno Mkoani Singida leo Octoba 02,2020. 
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika uwanja wa Igogono Wilayani Mkalama Singida leo Octoba 02,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages