A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, September 16, 2020

WANANCHI WA MUSOMA WASOGEZEWA HUDUMA NA VODACOM TANZANIA PLC

Mkuu wa wilaya ya Musoma, Dk. Vincent Anney Naano (wapili kushoto) akikata utepe kuzindua duka jipya la kisasa la Vodacom lililopo Musoma mjini. Wengine kutoka kushoto ni Msimamizi wa Duka hilo, Cosmas Mseti, Kaimu Mkuu wa Mauzo Vodacom kanda ya Ziwa, Ahmed Akbarali , Meneja mauzo mwandamizi Vodacom kanda ya Ziwa, Viktoria Chale. 
Mkuu wa wilaya ya Musoma, Dk. Vincent Anney Naano akipata huduma toka kwa mtoa huduma wa duka jipya la Vodacom lililopo Musoma mjini.

Mkuu wa wilaya ya Musoma, Dk. Vincent Anney Naano (kushoto) akipata maelezo ya bidhaa mbalimbali zilizopo duka jipya la Vodacom wilayani humo toka kwa Kaimu Mkuu wa Mauzo Vodacom kanda ya Ziwa, Ahmed Akbarali mara baada ya uzinduzi wa duka hilo. 


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages