A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Sunday, September 13, 2020

TARIMBA KULIAMSHA 'DUDE' KINONDONI, AZINDUA KAMPENI VIWANJA VYA BIAFLA


Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM akimnadi na kumuombea kura Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni, ndg Abasi Tarimba katika Mkutano uliofanyika Uwanja wa Biafla Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam leo.

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM akimkabidhi Mgombea ubunge wa Jimbo la Kinondoni ndg Abasi Tarimba ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025 wakati akimnadi na kumuombea kura katika Mkutano uliofanyika katika Uwanja wa Biafla Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages