A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, September 14, 2020

MAMA SAMIA SULUHU AFANYA MKUTANO WA KAMPENI JIMBO LA NDANDA MASASI

F87A0003-2
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi Jimbo la Ndanda alipowasili katia uwanja wa kijiji cha Mateko Ndanda Wilayani Masasi wa ajili ya kuhutubia Mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 13,2020.
F87A0005-2 
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi Jimbo la Ndanda mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Madeko Wilayani Masasi Mkoani Mtwara leo Septemba 13, 2020.
F87A0013-2
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Ndanda Wilayani Masasi wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia kwenye Mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Madeko Ndanda Wilayani Masasi Mkoani Mtwara leo Septemba 13,2020. (Picha  na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages