A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, September 9, 2020

Mgombea Urais Wa CCM Rais Dkt. Magufuli Ahutubia Wananchi Wa Geita Katika Uwanja Wa Kahangalala Mkoani Geita




Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Wananchi wa Geita mjini katika mkutano wa Kampeni za CCM zilizofanyika leo tarehe 9 Septemba 2020 katika uwanja wa Kalangalala mkoani Geita.
Sehemu ya Wananchi wa Geita mjini wakisikiliza hotuba ya Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia katika uwanja wa Kalangalala mkoani Geita.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages