A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, September 15, 2020

MAJALIWA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUUAGA MWILI WA MARK BOMANI

PMO_0599
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi wakati alipowaongoza waombolezaji kuuaga mwili wa Mwanasheria Mkuu Mstaafu, Mark Bomani kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, Septemba 14, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_0609
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete wakati alipowaongoza waombolezaji katika kuuaga mwili wa Mwanasheria Mkuu Mstaafu, Mark Bomani kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, Septemba 14, 2020. Wengine pichani kutoka kushoto ni Jaji Mkuu Mstaafu, Mohamed Chande Othman, Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya, Waziri Mkuu Mstaafu Josph Warioba, Jaji Mstaafu Damian Lubuva, Jaji Mkuu Mstaafu Barnabas Samatta na kulia ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Adelardus Kilangi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_0632
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipowaongoza waombolezaji kuuaga mwili wa Mwanasheri Mkuu Mstaafu, Mark Bomani kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, Septemba 14, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
PMO_0665
PMO_0667
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa Mwanasheria Mkuu Mstaafu, Mark Bomani kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, Septemba 14, 2020. (Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu).
PMO_0753
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya wakati alipowaongoza waombolezaji  kuuaga mwili wa Mwanasheria  Mkuu Mstaafu, Mark Bomani kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, Septemba 14, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages