A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, September 4, 2020

KITILA MKUMBO ATANGAZA NEEMA KWA JIMBO LA UBUNGO


Mgombea ubunge wa Jimbo la Ubungo kwa tiketi ya CCM, Prof. Kitila Mkumbo akizungumza na wakazi  wa jimbo hilo wakati wa mkurtano wake wa uzinduzi wa kampeni  uliofanyika katika viwanja vya #EPZA exteno jijini Dar es Salaam
 Msanii wa muziki wa Bongo fleva PNC akitoa burudani wakati wa uzinduzi wa kampeni jimbo la ubungo
  Msanii wa muziki wa Bongo  fleva Squzer akifanyua mambo yake wakati wa uzinduzi wa kampeni jimbo la ubungo
 Msanii mahili wa bongo fleva Peter Msechu akifanya yake
 Baadhi ya waliotia nia kuwania nafasi ya Ubunge katika jimbo la Ubungo wakiserebuka pamoja na  Prof. Kitila Mkumbo ambae ndio mteule wakuwakilisha jimbo hilo kuonesha ishara ya upendo na kumuahidi kuwa watakuwa nae bega kwa bega kuhakikisha anashinda ubunge jimbo la ubungo
Baadhi ya wanachana wa CCM na wanaichi wa jimbo la ubungo waliofurika katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni uliozinduliwa na prof. Kitila Mkumbo
 Baadhi ya waliotia nia kuwania nafasi ya Ubunge katika jimbo la Ubungo wakiwa wamembeba Prof. Kitila Mkumbo ambae ndio mteule wakuwakilisha jimbo hilo kuonesha ishara ya upendo na pongezi baada yakuteuliwa yeye kuwakilisha jimbo hilo na kumuahidi kuwa watakuwa nae bega kwa bega kuhakikisha anashinda ubunge jimbo la ubungo
Mwenyekiti wa Umoja waliotia nia kuwania nafasi ya ubunge jimbo la ubungo Elizabeth akimuombea kura Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli, Mgombea ubunge wa Jimbo la Ubungo kwa tiketi ya CCM, Prof. Kitila Mkumbo pamoja na Diwani wa kata hiyo Jafari Nyaigesha.
Mgombea wa Udiwani wa kata ya Ubungo Jafari Nyaigesha, akizungumza na wakazi wa jimbo hilo wakati wa uzinduzi wa kampeni katika jimbo hilo.









No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages