Dodoma
Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli amethibitisha usiku huu kifo cha Mzee wetu, Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa, aliyefariki dunia usiku huu jijini Dar es Salaam.Taifa limepata
pigo, tumuombee Mzee wetu apate pumziko la amani na la milele, Amen. Taarifa zaidi zitatolewa.
Post Top Ad
Your Ad Spot
Friday, July 24, 2020
TANZIA: RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA AFARIKI DUNIA
Tags
KITAIFA#
Share This
About kilole mzee
KITAIFA
Labels:
KITAIFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment