A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, July 17, 2020

MWENYEKITI UVCCM WILAYA UBUNGO KUINGIA KWENYE MTANANGE WAKUSAKA UBUNGE JIMBO LA UBUNGO



Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Ubungo ndugu Edwin C.Lema (kulia), akichukua fomu yakuomba ridhaa ya kuwania nafasi ya Ubunge katika jimbo la Ubungo kupitia tiketi ya Chama cha CCM anaemkabidhi fomu hiyo ni Katibu wa Chama hicho  wilaya ya Ubungo Chifu Sylvester Yaredi Picha na Brian Peter


MWENYEKITI WA UVCCM  WILAYA  UBUNGO  Edwin C.Lema leo tarehe 15 julai 2020 amechukua fomu ya kutia nia ya kugombea Ubunge jimbo la Ubungo kupitia chama cha Mapinduzi CCM.

Lema amekabidhiwa fomu hiyo na katibu wa CCM wilaya ya Ubungo, Chifu Sylvester na kusema amefanya maamuzi yakuchukua fomu ya ubunge ili jimbo la ubungo ili kuunga mkono  juhudi  za Rais wetu John Pombe Magufuli katika kuijenga Tanzania na Taifa kwa ujumla.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages