A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, July 30, 2020

Mimi na Daimond nio tunaweza kuandaa tour na kuwalidhisha wasanii wenzetu- Gigy Money

Mwanamuziki wa bongo fleva Gigy moneyamefunguka kuwa yeye na Msanii Diamond ndio wasanii pekee wanaoweza kuandaa tour na wakawalipa vizuri wasanii wanaoambatana nao .


Kauli hiyo ameitoa Gigy Money kwenye ukurasa wake wa instagram na kuandika hivi;

''I swear Me and @diamondplatnumz we are only 2celeb who can Do tour and pay 💰 other artists Good , you know why ??
We know our fellow artist Worth (kama kingereza changu uelewi Nasema ivi mm na @diamondplatnumz ndio wasanii pekee tunaoweza kuandaa tour nakualidhisha wasanii wenzetu 🙏💪💪💪💪🙏 kama Unabisha kunya Boga🤣 tukutane MBEYA'' @gigy_money_og

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages