A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, July 30, 2020

Marekani: Mtandao wa Tik Tok utaingilia uchaguzi


Kundi la Maseneta wa Chama cha Republican nchini Marekani wameweka shinikizo dhidi ya mtandao wa kijamii wa Tik Tok, likiiutaka utawala wa Rais Donald Trump kutathmini kitisho kwamba app hiyo inayomilikiwa na China ya kusambaza video huenda itaingilia uchaguzi wa Marekani.

Wabunge hao wameandika barua wakidai kuwa kuna wasiwasi mkubwa kwamba Chama tawala cha Kikomunisti cha China kinaweza kutumia udhibiti ilionao wa Tik Tok kuvuruga ama kushawishi mazungumzo ili kusababisha mgawanyiko miongoni mwa Wamarekani na kufanikisha lengo lao kisiasa.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages