Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Wananchi wa Ubungo jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili wakati akitokea
Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe akiwapungia mkono wa nanchi wa Ubungo jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili wakati akitokea Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwaaga Wananchi wa Ubungo jijini Dar es Salaam mara baada ya kusimama na kuwasaimia wakati akiwasili akitokea mkoani Dodoma.
Baadhi wa wanachana wa Chama cha Mapinduzi CCM
wakihakiki kadi zao za Chama kwaajili ya kumdhamini Rais Magufuli
kugombea tena nafasi ya Urais.
Baadhi ya wanachama waliojitokeza katika mkutano huo.
Umati wa Wanainchi na wanachama wa CCM walipokwenda kutembelea miradi mbalimbali Picha zote na Brian Peter
No comments:
Post a Comment