A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, June 27, 2020

Mashabiki ruksa kuwepo uwanjani mechi ya Tanzania Prisons dhidi ya Simba

Serikali kupitia Wizara Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Baraza la Michezo nchini BMT imekubali kuingia kwa mashabiki katika mchezo wa VPL kati ya Tanzania Prisons vs Simba
 utakaopigwa kesho katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages