A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, June 25, 2020

Dk Hussein Mwinyi arudisha fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM

Waziri wa Ulinzi na Kujenga Taifa Dk Hussein Mwinyi akisalimiana na Katibu wa Idara ya Oganizeshi ya CCM Zanzibar Ndg. Galoso Nyimbo wakati akirudisha  fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM leo.
Katibu wa Idara ya Oganizeshi ya CCM Zanzibar Ndg. Galoso Nyimbo akipokea Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar Mhe. Hussein Mwinyi am,bayo tayari imeshajazwa leo Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui.

Waziri wa Ulinzi na Kujenga Taifa Dk Hussein Mwinyi akiongea na wanahabari baada ya kurejesha fomu ya kugomea urais wa Zanzibar kupitia CCM leo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages