A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Sunday, May 31, 2020

Yaliyosisimua Duniani katika Picha

WANAFUNZI-1024x577
Wanafunzi wakiwa katika tahadhari dhidi ya virusi vya Corona huku wakipata chakula cha mchana katika Shule ya Daejeon nchini Korea Kusini. (Picha na AFP).
NYUMBANI-1024x683
Mwanamke aliyekutwa akiwa juzi amewakinga watoto wake wasipigwe na jua wakati akiendelea kusubiria treni na wafanyakazi wenzake wahamiaji zikiwemo familia zao kurejea nyumbani kutoka jijini New Delhi, India baada ya Serikali kulegeza amri ya kukaa ndani ikiwa ni hatua ya kujiadhari dhidi ya virusi vya Corona (COVID-19).(Picha na AFP).
CHAKULA-3-1024x577
Watu wakiwa wamesimama katika foleni Kitongoji cha Laudium mjini Pretoria, Afrika Kusini juzi kwenda kupokea chakula cha msaada katika kipindi hiki cha mlipuko wa virusi vya corona (COVID-19). (Picha na REUTERS).
MOTO-2-1024x683
Maafisa wa Kikosi cha Zimamoto mjini Kashmiri wakishirikiana kuzima moto katika moja ya jengo lilorushwa guruneti wakati wa mabishano ya risasi baina ya vikosi vya Jeshi la India na wanamgambo katika eneo la Srinagar, Kashmir, India, May 19, mwaka huu. (Picha na EPA-EFE.

Pages

 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages