A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, May 14, 2020

RAIS WA ZANZIBAR AFANYA MAZUNGUMZO NA MAOFISA WADHAMINI PEMBA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Maofisa Wadhamini Pemba wakati wa ziara yake, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba.
DSC1938-1536x970
Baadhi ya  Maofisa Wadhamini  wa Wizara za Serikali Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba wakati wa ziara yake Pemba.
DSC1929-1536x972
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu, akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein. (hayupo pichani) kuzungumza na Maofisa Wadhamini wa Wizara Pemba.

DSC1939-1536x919
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe Hemed Suleiman na (kulia) Mshauri wa Rais Pemba Dkt. Maua Abeid Daftari na kushoto Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe. Omar Khamis Othman, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) akizungumza na Maofisa Wadhamini wa Wizara Pemba, wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages