A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Sunday, May 24, 2020

MASAUNI AONGOZA ZOEZI LA KUGAWA SADAKA ZA SIKUKUU YA EID

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (watatu kulia), akimpa mtoto Sada Abdallah, sadaka ya Begi na Mchele wakati wa ugawaji wa sadaka ya Sikukuu ya Eid uliofanyika leo katika Ofisi ya Taasisi ya Misaada kwa Binadamu ya Abdullah kutoka nchini Uingereza yenye tawi lake Vingunguti jijini Dar es Salaam. Wapili kulia ni Mstahiki Meya wa Ilala, Omary Kumbilamoto. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akikabidhi sadaka ya Eid kwa mzazi wa mtoto wakati wa ugawaji wa sadaka hiyo iliyotolewa na Taasisi ya Misaada kwa Binadamu ya Abdullah kutoka nchini Uingereza yenye tawi lake Vingunguti jijini Dar es Salaam. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi) 
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na wazazi wa watoto muda mfupi baada ya kuwakabidhi sadaka ya Sikukuu ya Eid iliyotolewa leo na Taasisi ya Misaada kwa Binadamu ya Abdullah kutoka nchini Uingereza yenye tawi lake Vingunguti jijini Dar es Salaam. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages