A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, May 21, 2020

MARY MSIGWA AMETULETEA AGANO


AGANO huu ni wimbo kwa ajili ya kumuinua Mungu kwa ajili ya matendo yake makuu anayotenda Kwetu na kumkumbusha Maagano au ahadi alizo tuahidi na kumjulisha kuwa tunamuamini na yeye ni mwaminifu!

WAAMUZI 2:1 "Kisha malaika wa Bwana alikwea juu kutoka Gilgali kwenda Bokimu. Akasema, Mimi nimewaleta ninyi mkwee juu kutoka nchi ya Misri, nami nimewaleta hata nchi niliyowaapia baba zenu; nami nilisema, Mimi milele sitalivunja hilo agano langu nililoagana nanyi;"

KUTOKA 34:10 "Akasema, Tazama, nafanya agano; mbele ya watu wangu wote nitatenda miujiza, ya namna isiyotendeka katika dunia yote, wala katika taifa lo lote; na watu wote ambao unakaa kati yao wataona kazi ya Bwana, kwa maana ni neno la kutisha nikutendalo."

Usikilizapo wimbo huu utiwe nguvu na hofu ikimbie kwako katika hilo unalopitia muamini Mungu atakuvusha.
Hakuna la kumshinda Mungu!
Producer-Hezron
Studio-delight record
Contacts: WhatsApp Number 0658167314

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages