Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Amina Shaban (wa pili kushoto), akikabidhi tuzo ya mshindi wa tatu katika kitengo cha mabenki makubwa ya Mwasilishi Bora wa Hesabu zinazotolewa na Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Mahesabu (NBAA) kwa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Fedha ya Benki yaa Barclays Tanzania, Bernard Tesha katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kulia ni Meneja wa Kitengo cha Usimamizi wa Fedha wa benki hiyo, Muhsin Kaye na kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya NBAA, Prof. Isaya Jairo.
Kaimu Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya Barclays Tanzania, Bernard Tesha (kulia), na Meneja wa Kitengo cha Usimamizi wa Fedha wa benki hiyo, Muhsin Kaye, wakionyesha tuzo ya mshindi wa tatu katika kitengo cha mabenki makubwa ya Mwasilishi Bora wa Hesabu zinazotolewa na Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Mahesabu (NBAA) iliyoshinda benki hiyo mara baada ya kukaabidhiwa jijini Dar es Salaam h kwa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Fedha ya Benki yaa Barclays Tanzania, Bernard Tesha katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment