Kamishna
wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, Liberat Sabas (wa pili kushoto) na
Ofisa Fedha Mkuu wa Benki ya NBC, Waziri Barnabas wakibalishana hati za
makubaliano ya ulinzi wa askari wa jeshi hilo katika matawi yote NBC nchini.
Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam Jana. Wanaoshuhudia kutoka kushoto
ni, Mkuu wa Kitengo cha Sheria, Kamishna Mwandamizi wa Polisi, Gustavus Babile,
Mkuu wa kitengo cha Sheria wa NBC, Doxa Mbapila na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa
NBC, Alelio Lowassa.
Kamishna
wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, Liberat Sabas (kushoto) na Ofisa
Fedha Mkuu wa Benki ya NBC, Waziri Barnabas wakisaini hati za makubaliano ya
ulinzi wa askari wa jeshi hilo katika matawi yote ya NBC nchini. Hafla hiyo
ilifanyika jijini Dar es Salaam Jana. Wanaoshuhudia kutoka kushoto ni, Mkuu wa
Kitengo cha Sheria, Kamishna Mwandamizi wa Polisi, Gustavus Babile, Mkuu wa
kitengo cha Sheria wa NBC, Doxa Mbapila na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa NBC,
Alelio Lowassa.
No comments:
Post a Comment