Katibu
Tawala Mkoa wa Arusha, Richard Kwitega (kushoto), akishikana mikono na
Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa Benki ya NBC, Linley Kapya huku Meneja wa
Tawi la NBC Arusha, Mirage Msuya akiangalia katika hafla iliyoandaliwa na benki
hiyo kwa wateja wake jijini Arusha hivi karibuni.
Mkuu
wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqarro (wa pili kushoto), akibadilishana mawazo
na Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa Benki ya NBC, Linley Kapya wakati wa hafla
ya chakula cha usiku iliyoandaliwa na benki ya NBC jijini Arusha juzi. Kutoka
kushoto ni Meneja wa Tawi la NBC Arusha, Mirage Msuya, Mkurugenzi wa Wateja
Wakubwa Benki ya NBC, Linley Kapya na Katibu Tawala Mkoa wa Arusha, Richard
Kwitega.
Mkurugenzi
wa Wateja Wakubwa Benki ya NBC, Linley Kapya (wa pili kushoto) akishikana mikono
na Katibu Tawala Mkoa wa Arusha, Richard Kwitega katika hafla
iliyoandaliwa na benki hiyo kwa wateja wake jijini Arusha hivi karibuni. Wanaoangalia
kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqarro na Meneja wa Tawi
la NBC Arusha, Mirage Msuya.
Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa Benki ya NBC, Linley Kapya (katikati) akizungumza na baadhi ya wateja katika hafla waliyowaandalia jijini Arusha hivi karibuni kwa lengo la kufahamiana na kupata mrejesho wa huduma wanazopewa na benki hiyo.
No comments:
Post a Comment