A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, August 16, 2019

TIGO YATOA MSAADA WA KOMPYUTA 20 KATIKA CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA

Mkurugenzi wa Tigo, Nyanda za juu Kusini, Henry Kinabo (katikati), akikaribishwa katika chumba cha kufundishia kompyuta katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) na Rasi Kampasi ya Rukwa, Dkt. Duncan Mwakipesile (kushoto) baada ya makabidhiano ya komputa 20 zenye thamani ya 48m/- zilizotolewa na Tigo kwaajili ya kuchangia katika masomo ya TEHAMA katika chuo hicho mkoani Mbeya.
Mkurugenzi wa Tigo, Nyanda za juu Kusini, Henry Kinabo (katikati) akimkabidhi Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST), Profesa Aloys Mvuma, moja ya kompyuta 20 zenye thamani ya 48m/- zilizotolewa na Tigo kwaajili ya kuchangia katika masomo ya TEHAMA katika chuo hicho mkoani Mbeya. Pembeni yao ni Naibu wa makamu mkuu wa chuo Taaluma, Ushauri na Utafiti, Profesa Godliving Mtui.
Wafanyakazi wa Tigo, kutoka Nyanda za juu Kusini, wakiwa katika picha ya pamoja na Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) baada ya makabidhiano ya kompyuta 20 katika chuo hicho zenye thamani ya 48m/- zilizotolewa na Tigo kwaajili ya kuchangia katika masomo ya TEHAMA katika chuo hicho mkoani Mbeya.
             
Mbeya, Agosti 14 2019: Katika juhudi za kuchangia malengo ya Serikali ya kuboresha na kuinua viwango vya elimu katika taasisi za elimu ya juu, kampuni inayoongoza katika maisha ya kidigitali nchini Tanzania, Tigo, leo wamekabidhi kompyuta za mezani 20, zitakazo wanufaisha wanafunzi 4,630 katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya(MUST).

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages