Afisa Mwandamizi wa Taasisi ya Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP)
Deogratius Temba (kulia), akizungumza na wananchi pamoja na wanafunzi wakati Wa semina
ya jinsia na maendeleo kujadili nafasi ya Serikali za mitaa katika kutekeleza
Mpangokazi wa Taifa wa kupinga ukatili dhidi ya wanawake na watoto ikiwa ni
muendelezo wa kutoa elimu ya MTAKUWA, TGNP Mtandao yawaelimisha wananchi wa
Makumbusho kupitia semina hiyo. Hafla hiyo imefanyika jana mwananyamala ujiji
Dar es Salaam.
Afisa
Mwandamizi Ujenzi wa nguvu za pamoja wa Taasisi ya Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP)
Anna Sangai (kushoto), akizungumza na wananchi pamoja na wanafunzi wakati Wa semina ya
jinsia na maendeleo kujadili nafasi ya Serikali za mitaa katika kutekeleza
Mpangokazi wa Taifa wa kupinga ukatili dhidi ya wanawake na watoto ikiwa ni
muendelezo wa kutoa elimu ya MTAKUWA, TGNP Mtandao yawaelimisha wananchi wa
Makumbusho kupitia semina hiyo. Hafla hiyo imefanyika jana mwananyamala ujiji
Dar es Salaam
Baadhi ya wakazi wa mtaa huo akichangia mada
No comments:
Post a Comment