A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, August 14, 2019

MUFTI WA TANZANIA SHEIKH ABOUBAKARY ZUBEIRY Bin ALLY ATEMBELEA MAJERUHI WA AJALI YA MOTO WA MAFUTA

Mufti Mkuu wa Tanzania,  Sheikh Aboubakar Zubeiry bin Ally akiongoza  Dua fupi ya kuwaombea majeruhi waliolazwa wodini katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kutokana na majeraha waliopata katika ajali ya moto iliyotokea mkoani Morogoro. Kulia ni Mkuu wa Idara ya Uuguzi wa Muhimbili, Bw. Yassin Munguatosha. Sheikh Mkuuametembelea majeruhi wa ajali ya moto na kuwapa pole na kuwaombea Dua ili mwenyezi Mungu awape wepesi wa kupona haraka.
Mufti Mkuu wa Tanzania,  Sheikh Aboubakar Zubeiry bin Ally  akielekea katika wodi walikolazwa majeruhi wa moto katika Hospitali ya Muhimbili.
Mufti Mkuu wa Tanzania,  Sheikh Aboubakar Zubeiry bin Ally  akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wasaidizi wake pamoja na wataalam wa Muhimbili baada ya kutembelea majeruhi wa ajali ya moto.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages