A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, August 16, 2019

ASKOFU WA KANISA LA GOSPEL REVIVAL ASSEMBLIES OF GOD ISAACK ASAJILE ATOA MSAADA KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM






Mchungaji Kiongozi Askofu wa Kanisa la Gospel Revival Assemblies Of God,Isaack Asajile(kulia),akigawa vyakula kwa wakazi wa Dar es Salaam katika hafla Endelevu ya Utoaji wa Vyakula, mitaji,nguo na pesa kwa watu wasio na uwezo iliyofanyika kanisani hapo maeneo ya Banana Ukonga jijini leo.



Baadhi ya akina mama wakitoka kanisani baada yakupokea msaada wa vyakula uliotolewa na Mchungaji Kiongozi Askofu wa Kanisa la Gospel Revival Assemblies Of God,Isaack Asajile.



Baadhi ya walemavu wa macho wakiwa nje ya kanisa baada ya kupokea msaada wa vyakula uliotolewa na Mchungaji Kiongozi Askofu wa Kanisa la Gospel Revival Assemblies Of God,Isaack Asajile.



Baadhi ya wakazi wa Dar  es Salaam wakiwa katika foleni.

Mchungaji Kiongozi Askofu wa Kanisa la Gospel Revival Assemblies Of God,Isaack Asajile (kulia) akizungumza jambo pamoja na watumishi wa kanisa katika hafla Endelevu ya Utoaji wa Vyakula, mitaji,nguo na pesa kwa watu wasio na uwezo iliyofanyika kanisani hapo maeneo ya Banana Ukonga jijini Da es Salaam leo.



Baadhi ya Watumishi wa Kanisa la Gospel Revival Assemblies Of God,wakisaidia zoezo la ugawaji wa vyakula kwa wakazi wa Dar es Salaam.


Mchungaji Kiongozi Askofu wa Kanisa la Gospel Revival Assemblies Of God,Isaack Asajile (kushoto) akiwaombea baadhi ya wakazi wa Dar es Salaam baada ya kumaliza kulifanya zoezi la ugawaji wa vyakula katika hafla Endelevu ya Utoaji wa Vyakula, mitaji,nguo na pesa kwa watu wasio na uwezo iliyofanyika kanisani hapo maeneo ya Banana Ukonga jijini leo. Picha zoote na Brian Peter

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages