A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, July 20, 2019

Picha: Waziri Mkuu apokea Treni ya mizigo na kuzindua safari za mizigo


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo amepokea Treni ya mizigo na kuzindua safari za Treni za mizigo katika reli ya Kaskazini.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipokea treni ya mizigo, iliyowasili tokea Tanga, kwenye uzinduzi wa treni hiyo katika reli ya Kaskazini Julai 20.2019



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages