Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta amebainisha kuwa amejaribu kuwatembelea gerezani viongozi wa zamani wa klabu ya Simba ambao ni makamu wa Rais Godfrey nyange 'kaburu' na Rais wa TFF, Jamali Malinzi lakini hakufanikiwa kuwaona.
Samatta ambaye alikuwa na Taifa Stars nchini Misri ilikokuwa ikishiriki AFCON 2019 na kutolewa hatua ya makundi amesema licha ya kutowaona lakini anawaombea.
Kikosi cha Taifa Stars kilirejea kutoka nchini Misri ambapo kilicheza mechi tatu za Kundi C dhidi ya Senegal, Kenya na Algeria lakini kikapoteza mechi zote.
Post Top Ad
Your Ad Spot
Saturday, July 6, 2019
MBWANA SAMATTA AIOMBEA TAIFA STARS LICHA YAKUTOLEWA AFCOM
Tags
MICHEZO#
Share This
About kilole mzee
MICHEZO
Labels:
MICHEZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment