A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, July 10, 2019

Emmanuel Okwi kutimkia timu iliyofundishwa na Diego Maradona

Winga Emmanuel Okwi amejiunga na timu ya Fujairah Footbal Club inayoshiriki Ligi Kuu ya Falme za Kiarabu (UAE), imeelezwa.

Nyota huyo Mganda anakwenda kucheza katika timu hiyo ya Ligi Kuu UAE iliyowahi kufundishwa na gwiji la soka duniani, Diego Maradona.

Maradona kutoka Argentina, aliifundisha Furjairah kwa kipindi cha msimu wa 2017/18 na baada ya hapo hakuendelea.

Kwa sasa kikosi hicho kinanolewa na kocha Abdulla Maesfer raia wa UAE.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages