A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, June 26, 2019

VIDEO: Serikali yatoa msimamo kauli ya Mbunge wa Kenya ''tumemuita balozi''


Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesimama Bungeni na kutoa msimamo wa serikali juu ya kauli iliyotolewa na Mbunge wa Starehe, Jaguar, ya kuwataka watanzania wanaofanya biashara nchini Kenya, kuondoka haraka la sivyo watawapiga mawe.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI,.....USISAHAU KUSUBSCRIBE



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages