A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, June 11, 2019

Matola aachwa njia panda Lipuli FC


Kocha wa Lipuli, Seleman Matola amesema kuwa mpaka sasa hajaitwa mezani na uongozi wa Lipuli kujadili hatma ya mkataba wake pamoja na mipango ya msimu ujao.

Matola amesema kuwa kambi yao baada ya ligi kuisha pamoja na kumaliza fainali ya kombe la Shirikisho ilivunjwa kwa mtindo wa maajabu.

"Kiukweli namna kambi ilivyovunjwa haikuwa vizuri kwani hakuna mchezaji aliyepata nafasi ya kuonana na uongozi, tumeivunja kambi kwa staili yake.

"Mpaka sasa pia sijaitwa na uongozi wangu kuzungumza nao juu ya hatma yangu na mipango ya msimu ujao hivyo kuhusu Lipuli kwa sasa sijui chochote," amesema Matola.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages