Beki wa Lord Eyes, Ally Khalifa (kulia), akimchezea vibaya Mshambuliaji wa Magereza FC, John Magulambo wakati wa mchezo
wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule
ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu hizo
zilitunishiana misuli na kutoka sare ya bila kufungana.
Mshambuliaji
wa timu ya Lord Eyes FC Budo Francis, akijaribu kupiga shuti wakati wa mchezo wao
na Magereza FC, katika Mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup
inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya
Jiji la Dar es Salaam ambapo timu hizo zilitunishiana misuli na kutoka sare ya
bila kufungana kulia ni Mshambuliaji wa timu ya Magereza Danford Kessy.
Mshambuliaji
wa Magereza FC Moses Godfrey, akimtoka Mchezaji wa Lord Eyes FC John Gisanta, wakati
wa mchezo wao na Magereza FC, katika Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea
katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la
DaresSalaam ambapo timu hizo zilitunishiana misuli na kutoka sare ya bila
kufungana.
Mshambuliaji wa Magereza
FC John Magulambo, akijaribu kufanya
mashambulizi, wakati wa mchezo wao na Lord Eyes FC, kwenye Ligi ya
Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu
Kivule nje kidogo ya Jiji la DaresSalaam ambapo timu hizo zilitunishiana misuli
na kutoka sare ya bila kufungana.
No comments:
Post a Comment