A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, April 22, 2019

Zahera afunguka mikakati ya kunyakua ubingwa

Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera afunguka na kusema timu yake bado ina nafasi ya kutwaa ubingwa msimu huu lakini inabidi wapate ushindi katika michezo sita iliyobaki.

Zahera amesema wanahitaji kushinda michezo yote sita iliyobaki ikiwa ni dhidi ya Azam FC, Ruvu Shooting, Biashara United, Mbeya City, Tanzania Prisons na Azam FC

"Ligi bado iko wazi hakuna timu ambayo imejihakikishia ubingwa.

"Kwa upande wetu hatupaswi kufanya makosa zaidi kwenye michezo iliyobaki ili kuwa na nafasi" amesema Zahera.

Ukiondoa mchezo dhidi ya Biashara United ambao utapigwa mkoani Mara, habari njema ni kuwa michezo mingine mitano itapigwa uwanja wa Taifa

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages