A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, April 22, 2019

Bondia Amir Khan achezea kichapo

Bondia Amir Khan akiwa chini baada ya kuangushwa na mpinzani wake, Terence Crawford raundi ya kwanza kwenye pambano la uzito wa Welter asubuhi ya leo ukumbi wa Madison Square Garden mjini New York, Marekani.

Khan aliinuka na kuendelea na pambano kabla ya kujiuzulu raundi ya sita akidai kupigwa chini ya mkanda, hivyo Crawford kuondoka na taji lake la WBO kwa ushindi wa Technical Knockout (TKO) akiendeleza rekodi ya kutopoteza pambano.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages