A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, April 22, 2019

Everton yaisambaratisha bila huruma Manchester United

Klabu ya Everton imefanikiwa kupanda hadi nafasi ya saba kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza baada ya kuishindilia Manchester United mabao 4-0 kwenye dimba la Goodison Park.

Hiki ni kipigo cha sita kwa Manchester United katika michezo yao nane ya hivi karibuni.

Richarlison alianza kufungua ukurasa wa mabao dakika ya 12, Gylfi Sigurdsson dakika ya 28, Lucas Digne dakika ya 56 na la mwisho limefungwa na Theo Walcott dakika ya 64.




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages