A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, April 10, 2019

WABUNGE WA UGANDA WAFANYA ZIARA BUNGENI DODOMA

PIC 1
Naibu Spika wa Bunge Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akizungumza jambo na Mkuu wa Msafara wa Wabunge na Watumishi wa Bunge la Uganda na Mnadhimu Mkuu wa Upinzani wa Bunge hilo Mhe. Ssemujju Ibrahim Ofisini kwake Jijini Dodoma hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge)
PIC 2
Naibu Spika wa Bunge Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akizungumza jambo na Ujumbe wa Wabunge na Watumishi wa Bunge la Uganda waliopo ziarani hapa nchini Ofisini kwake Jijini Dodoma hii leo.  (Picha na Ofisi ya Bunge)
PIC 3
Naibu Spika wa Bunge Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na  Ujumbe wa Wabunge na Watumishi wa Bunge la Uganda waliomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages