Meneja Kiwanda wa
Kampuni ya Tanga Cement (TCPLC), Mhandisi Ben Lema (kulia),akikabidhi
msaada wa mifuko 200 ya saruji yenye thamani
ya shs 2,139,000 kwa Kamishna wa Polisi Mkoa wa Tanga, Leonce
Rwengazira (kushoto), iliyotolewa na kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa nyumba za polisi Wilaya ya
Kilindi mkoani humo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika kiwandani hapo Pongwe, Tanga, juzi.
Wengine ni maofisa wa kampuni hiyo
pamoja na wa kutoka jeshi la polisi.
Meneja Mahusiano na Mawasiliano ya Nje wa
Kampuni ya Tanga Cement (TCPLC), Bi. Mtanga Noor (kushoto), akikabidhi
msaada wa mifuko 200 ya saruji yenye dhamani ya shs 2,139,000 kwa
Kamishna wa Polisi Mkoa wa Tanga, Leonce Rwengazira (kulia), iliyotolewa
na kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa nyumba za polisi Wilaya ya kilindi mkoani
humo. Hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika kiwandani hapo Pongwe Tanga jana.
wengine picha ni maofisa wa kampuni hiyo pamoja na maofisa kutoka katika
jeshi la polisi.
Mkuu wa
Rasilimali watu wa Kampuni ya Tanga Cement (TCPLC), Diana
Malambugi(kushoto),akikabidhi msaada wa mifuko 200 ya saruji yenye thamani ya
shs 2,139,000 kwa Kamishna wa Polisi Mkoa wa Tanga, Leonce
Rwengazira (kulia), iliyotolewa na kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa nyumba za
polisi Wilaya ya Kilindi mkoani humo. Hafla ya makabidhiano imefanyika kiwandani
hapo Pongwe, Tanga, juzi wengine ni maofisa wa kampuni hiyo pamoja na kutoka jeshi la polisi.
Meneja Kiwanda
wa Kampuni ya Tanga Cement (TCPLC), Mhandisi Ben Lema (watatukushoto), akizungumza
jambo kwa Kamishna wa Polisi Mkoa wa Tanga Leonce Rwengazira, katika
hafla hiyo.
Ofisa Masoko na
Mawasiliano wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Hellen Maleko
(katikati), akiongozana na Maofosa wa Polisi baada ya makabidhiano
No comments:
Post a Comment