A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, April 25, 2019

Rais Magufuli awasili Mbeya



Rais John Magufuli amewasili mkoani Mbeya tayari kwa kuanza ziara yake ya kikazi ya siku nane mkoani humo.

Akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataoifa wa Songwe, Rais Magufuli amelakiwa na viongozi mbalimbali wa mkoa huo.

Miongoni mwa viongozi hao ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini (CHADEMA), Joseph Mbilinyi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages