Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa Mwenyekiti na Wajumbe wote wa bodi hiyo wameongezewa muda hadi tarehe 23 Aprili, 2022.
Bodi hiyo inaongozwa na Mwenyekiti, Jaji Mstaafu Thomas Mihayo na wajumbe 6 kama ifuatavyo;
Bw. Augustine Kungu Olal.
Bi. Zabein Muhaji Mhita.
Bw. Richard Rugimbana.
Bw. Mark Leveri.
Bw. Ally Hussein Laay.
Bw. Ibrahim Mussa.


No comments:
Post a Comment