A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, April 26, 2019

Mchezaji raia wa Burundi afariki uwanjani

Kiungo wa zamani wa Klabu ya Bidvest Wits ya Afrika Kusini, Papy Faty amefariki jana Aprili 25 baada ya kuanguka uwanjani wakati wa mchezo kati ya timu yake, Malanti Chiefs na Green Mamba nchini eSwatini.

Mchezaji huyo(28) aliyefutiwa mkataba na Klabu ya Wits mwaka 2016 kutokana na kugundulika kuwa na matatizo ya moyo, alianguka baada ya dakika 15 tu za mchezo kupita.

Faty aliyekataa ushauri wa Madaktari baada ya kugundulika kuwa na matatizo ya moyo na hivyo kuendelea kusakata kabumbu, alikimbizwa hospitalini baada ya kuanguka lakini alifika akiwa amefari

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages