A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, April 26, 2019

Ombi la Sugu kwa Rais Magufuli kuhusu CCM na CHADEMA

Mbunge wa Mbeya, Joseph Mbilinyi amemweleza Rais Magufuli kuwepo kwa mgawanyiko kati ya wananchi wa Mbeya na kumhakikishia Rais kuwa hakuna kundi linalomtukana Rais wala waliopanga kumfanyia vurugu.

Akizungumza mbele ya Rais Magufuli katika ziara yake mkoani, SUgu amesema hataruhusu hilo litokee kwani Rais Magufuli ni rafiki yake.

Aidha amemuomba Rais Magufuli ikimpendeza angependa kuwa Mwenyekiti wa Usuluhishi na upatanishi kati ya wanachama wa CCM na CHADEMA ili kumaliza mgawanyiko na kuunga mkono kauli ya Rais ya kuwa Maendeleo hayana chama.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages