A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, February 7, 2019

Picha: Daktari Bingwa wa moyo kutoka Uturuki atembelea JKCI

Daktari Bingwa wa upasuaji wa moyo kutoka Hospitali ya Medicana , Bursa  ya  nchini Uturuki Prof. Serdar  Ener atembelea Taasisi ya Moyo  Jakaya Kikwete kwa ajili ya kuangalia huduma za matibabu ya moyo wanazozitoa, miundombinu na kuona namna wanavyoweza kufanya kazi pamoja.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages