Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akumuapisha Mhe. Doto Biteko kuwa Waziri wa Madini kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 9, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Zainab Chaula kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 9, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bi. Doroth Mwaluko kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uwekezaji) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 9, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhandisi Elius Mwakalinga kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 9, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Faustin Kamuzora kuwa Katibu Tawala mkoa wa Kagera kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 9, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Dorothy Gwajima kuwa Naibu Katibu Mkuu (TAMISEMI (Afya) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 9, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akumuapisha Dkt. Francis michael kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 9, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji (Mst.) James Bwana kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 9, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. George Yambesi kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 9, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Yahya Fadhili Mbila kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 9, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Daniel Ole Njoolay kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 9, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi John Michael Haule kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 9, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapishab Bi. Bi. Khadija Ali Mohamed kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 9, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bi. Immaculate Peter Ngwale kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 9, 2019
Kamishna wa Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji (Mstaafu) Harold Nsekela akiwaapisha viongozi walikula kiapo
Viongozi walioapishwa wakila kiapo cha maadili
Viongozi wa dini wakitambulishwa ukumbini
Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma akiongea baada ya Rais kuwaapisha viongozi mbalimbali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 9, 2019
Spika Job Ndugai akiongea baada ya Rais kuwaapisha viongozi mbalimbali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 9, 2019
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akiongea baada ya Rais kuwaapisha viongozi mbalimbali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 9, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kuwaapisha viongozi mbalimbali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 9, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kuwaapisha viongozi mbalimbali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 9, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kuwaapisha viongozi mbalimbali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 9, 2019
Viongozi mbalimbali wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kuwaapisha viongozi mbalimbali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 9, 2019
Viongozi mbalimbali wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kuwaapisha viongozi mbalimbali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 9, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Spika Job Ndugai baada ya kuwaapisha viongozi mbalimbali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 9, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wanahabari baada ya kuwaapisha viongozi mbalimbali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 9, 2019
No comments:
Post a Comment