A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Sunday, January 20, 2019

Manara ajifariji kwa staili hii baada ya kupata kichapo kutoka kwa AS Vita

Ofisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, ameamua kujifariji kimtindo kwa kukihusisha kipigo walichokipata dhidi ya AS Vita kwa kuwataja Yanga kuwa waliwahi kuwafunga pia.

Simba ilipoteza mchezo huo jana kwa kuchapwa mabao 5-0 ukiwa ni mchezo wa kundi D katika Ligi ya Mabingwa Afrika.

 Manara kupitia Instagram yake ameandika kuwa hata Yanga waliwahi kuwafunga, akisema Simba si ya kwanza kupokea kichapo hicho.

Amewasema Yanga kuwa wasijisahau kwani waliwahi kuwafunga kipindi cha nyuma katika Ligi Kuu Tanzania Bara.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages