Mkuu wa Wilaya Kinondoni, Daniel Chongolo (wa pili kushoto), akikata utepe kuzindua rasmi kituo cha mauzo cha Kampuni ya Mabati ya ALAF kilichopo Mwenge, jijini Dar es Salaam leo. Wanaoangalia kutoka kushoto ni, Ofisa Masoko, Theresia Mmasy, Meneja Mkuu, Dipti Mohanty na Maneja Masoko, Isamba Kasaka.
Mkuu wa Wilaya ya Kiondoni, Daniel Chongolo akitoa hotuba ya uzinduzi wa kituo hicho leo.
Mkuu wa Wilaya Kinondoni, Daniel Chongolo (katikat), Katibu Tawala wa Wilaya ya Kinondoni, Stella Msofe (kulia), Meneja Mkuu wa Kampuni ya mabati ya ALAF, Dipti Mohanty (wa pili kushoto), na Meneja Masoko wa ALAF, Sophia Assey (kushoto), wakiwa katika uzinduzi huo.
Mkuu wa Wilaya Kinondoni, Daniel Chongolo (katikati), Katibu Tawala wa Wilaya ya Kinondoni, Stella Msofe (watatu kushoto) pamoja na Meneja Mkuu wa Kampuni ya mabati ya ALAF, Dipti Mohanty wakiwa katika picha ya pamoja na daadhi ya wafanya kazi wa ALAF wakati wa uzinduzi huo.
Mkuu wa Wilaya Kinondoni, Daniel Chongolo (kulia), akiondoka baada ya tukio la uzinduzi wa kituo hicho cha mauzo. Kulia kwake ni Meneja Mkuu wa ALAF, Dipti Mohanty pamoja na wafanya kazi wengine.
No comments:
Post a Comment