Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi akielezea mpango mkakati wa miaka mitano ya benki hiyo wenye lengo la kuboresha kwa kiwango kikubwa huduma za benki hiyo kwenye mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (kushoto), akizungumza na vyombo vya habari leo jijini Dar es Salaam kuelezea mpango mkakati wa miaka mitano wa benki hiyo wenye lengo la kufanya maboresho makubwa kwenye huduma zake. Kushoto kwake ni jopo zima la wakurugenzi wa benki hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (katikati), akizungumza na vyombo vya habari leo jijini Dar es Salaam kuelezea mpango mkakati wa miaka mitano wa benki hiyo wenye lengo la kufanya maboresho makubwa kwenye huduma zake. Walioketi ni baadhi ya wakurugenzi wa NBC.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (wa pili kushoto mstari wa mbele), akipiga picha ya kumbukumbu na wakurugenzi wa NBC waliohudhuria mkutano huo jijini Dar es Salaam leo .
No comments:
Post a Comment