A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, November 13, 2018

Barclays yahamasisha watanzania kutumia huduma za kidigitali

01%2B%25281%2529
Meneja Huduma za Kibenki kwa njia ya Kidigitali wa Barclays Tanzania, Jesse Jackson (kushoto), na Mkuu wa  Mtandao wa Matawi wa benki hiyo, John Beja (kulia), wakikabidhi zawadi ya television kwa Bi. Bright Mwanga mmoja wa washindi wa kampeni inayoendelea ya benki hiyo iliyopewa jina la ‘Tap Tap and Win’ inayohamasisha wateja kutumia huduma za kibenki kwa njia ya kidigitali. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana.02%2B%25283%2529
Mshindi wa kampeni ya huduma za kidigitali wa Benki ya Barclays, Bi. Bright Mwanga (kushoto), akizungumza katika hafla hiyo. Kushoto kwake ni, Meneja Huduma za Kibenki kwa njia ya Kidigitrali wa benki hiyo, Jesse Jackson (kushoto) na Mkuu wa Mtandao wa Matawi wa benki hiy, John Beja. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. 03%2B%25281%2529
Waandishi kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakirekodi tukio hilo. Kampeni ya huduma za kibenki kwa njia za kidigitali inahamasisha wateja kutumia huduma za kibenki kwa njia za kidigitali. Anayezungmza katikakati ni Meneja Huduma za Kibenki kwa njia ya Kidigitali wa Barclays, Jesse Jackson.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages