A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Sunday, September 9, 2018

WAZIRI MPINA ATEMBELEA MIRADI MBALIMBALI WILAYANI MEATU

IMG-20180903-WA0011
Waziri wa mifugo na uvuvi, Mhe.Luhaga Mpina akiongea na wafugaji wa wilaya ya Meatu, mkoani Simiyu.
IMG-20180903-WA0001

IMG-20180903-WA0002

IMG-20180903-WA0003

IMG-20180903-WA0004
Wananchi mbalimbali walipata nafasi ya kumuuliza maswali Waziri na Mbunge juu ya ahadi za serikali na mbunge kwa ujumla.
IMG-20180903-WA0005

IMG-20180903-WA0006

IMG-20180903-WA0009
Waziri wa mifugo na uvuvi, Mhe.Luhaga Mpina akijibu hoja za wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Mwakaluba.
IMG-20180903-WA0018

IMG-20180903-WA0019

IMG-20180903-WA0020

IMG-20180903-WA0022
Waziri wa mifugo na uvuvi, Mhe.Luhaga Mpina akiongoza zoezi la uogeshaji wa mifugo lililofanyika katika Josho lililopo katika Kijiji cha Mwakaluba, kata ya Mwandoya.
IMG-20180903-WA0023
Waziri wa mifugo na uvuvi, Mhe.Luhaga Mpina akiongoza zoezi la uogeshaji wa mifugo lililofanyika katika Josho lililopo katika Kijiji cha Mwakaluba, kata ya Mwandoya.
IMG-20180903-WA0025
Waziri wa mifugo na uvuvi, Mhe.Luhaga Mpina akikagua miradi ya vikundi vya wajasiliamali ambao walinufaika na ufadhili wa ofisi ya mbunge jimbo la Kisesa wilayani Meatu kwakupewa vitendeakazi.
IMG-20180903-WA0027

IMG-20180903-WA0028
Waziri wa mifugo na uvuvi, Mhe.Luhaga Mpina akikagua miradi ya vikundi vya wajasiliamali ambao walinufaika na ufadhili wa ofisi ya mbunge jimbo la Kisesa wilayani Meatu kwakupewa vitendeakazi.
IMG-20180903-WA0029

IMG-20180903-WA0032

IMG-20180903-WA0037

IMG-20180903-WA0038

IMG-20180903-WA0039

IMG-20180903-WA0041
Waziri wa mifugo na uvuvi, Mhe.Luhaga Mpina akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya sekondari Sakasaka.
IMG-20180903-WA0042
Waziri wa mifugo na uvuvi, Mhe.Luhaga Mpina akisikiliza changamoto mbalimbali wazipitiazo wanafunzi wa shule ya sekondari Sakasaka.
IMG-20180903-WA0044

IMG-20180903-WA0045

IMG-20180903-WA0047

IMG-20180903-WA0048

IMG-20180903-WA0050

IMG-20180903-WA0051

IMG-20180903-WA0052

IMG-20180903-WA0053

IMG-20180903-WA0056
Waziri wa mifugo na uvuvi, Mhe.Luhaga Mpina akipitia taarifa na kukagua mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari pamoja na nyumba moja ya walimu wawili katika kijiji cha Mwakisandu. Ambapo uwepo wa shule hiyo  unatarajiwa kupunguza adha ya watoto kutembea umbali mrefu wa takribani kilometa10 kila siku kuelekea katika shule zilizoko jirani na kata ya Mwakisandu.
IMG-20180903-WA0058

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages