A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Sunday, May 13, 2018

Watu wawili wafariki katika mafuriko


Mvua kali zilizonyesha mjini Abidjan zimesabisha vifo vya watu wawili nchini Ivory Coast.

Mvua kali zimenyesha mjini Abidjan kuanzia Alkhamis hadi Ijumaa na kusababisha maafa na uharibifu wa mali. Taarifa kuhusu mvua hizo mjini Abidjan  imetolewa  na serikali Jumamosi.

Wizara ya mambo ya ndani na wizara ya ulinzi zimefahamisha kuwa zoezi la kuwaokoa raia ambao wameathiriwa na mvua hizo zinaendelea kote mjini Abidjan.

Waathirika wa  mvua hizo ni raia wenye maisha duni wanaoishi katika maeneo ambayo miundombinu haina vigezo vya kumudu  mvua.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages