Ivanka Trump akiwa na mmewe Jared Kushner ambae pia ni mshauri wa rais Donald Trump wamewasili mjini Tel Aviv kushiriki katika ufunguzi wa ubalozi wa Marekani mjiini Yerusalemu.
Ivanka Trump amewasili mapema Jumapili mjini Tel Aviv ambapo wanasubiri kushiriki katika hafla ya ufunguzi wa ubalozi wa Marekani mjini Yerusalemu Mei 14. Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza rasmi kuwa serikali yake inatambaua rasmi mji wa Yerusalemu kama mji mkuu wa Israel na kufahamisha kuwa Marekani itahamisha ubalozi wake uliopo Tel Aviv na kuuhamishia mjini Yerusalemu.
Uamuzi huo wa rais wa Marekani uliibua ghasia katika mkanda hadi kupelekea baraza la Umoja wa Mataifa kukutana na kukemea uamuzi huo uliochukuliwa Disemba 6 mwaka 2017.aa
Post Top Ad
Your Ad Spot
Sunday, May 13, 2018
Ivanka Trump awasili na mmewe mjini Tel Aviv
Tags
KIMATAIFA#
Share This
About kilole mzee
KIMATAIFA
Labels:
KIMATAIFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment