A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, May 14, 2018

Uingereza: "Hutana mpango wa kuhamisha ubalozi weti uliopo Tel Aviv"

Msemaji wa waziri mkuu wa Uingereza afahamisha kuwa serikali ya waziri mkuu Theresa May haina mpango wa kuhamisha ubalozi wake uliopo mjini Tel Aviv kutoka mjini Yerusalemu.

Taarifa kuhusu serikali ya Uingereza kutokuhamisha ubalozi wake uliopo mjini Tel Aviv imetolewa na msemaji wa waziri mkuu wa Uingereza  na kusambazwa na  kituo cha habari cha Sky News.

Hayo yamefahamishwa Jumatatu Mei 14 wakati ambapo Marekani ikijiandaa kufungua rasmi ubalozi wake mjini Yerusalemu kama ilivyotangazwa na Donald Trump mwaka uliopita.

Rais wa Marekani alitangaza Disemba 6 kuwa serikali yake inatambua mji wa Yerusalemu kama mji mkuu wa Israel.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages